ZIARA YA GLOBAL PUBLISHERS .


Nikiwa ndani ya studio za Global TV Online hivi karibuni.

Nikiwa na wahariri wa Magazeti ya Global Publishers ambao pia ni waongozaji wa vipindi vya Global TV Online, Erick Evarist (kushoto) na Sifael Paul (kulia).

Nikipata ‘ukodak’ na Mhariri wa Gazeti la Ijumaa, Amran Kaima (kulia) na Mkuu wa Kitengo cha Teknolojia ya Habari Global, Clarence Mulisa (kushoto).

Nilipotembelea ofisi za Global Publishers Ltd zilizopo Mwenge-Bamaga, Dar na kufanya mahojiano katika studio za Global TV Online.

Katika mahojiano hayo yatakayoruka hivi karibuni kupitia tovuti ya Global TV Online,www.globaltvtz.com, na kueleza  wapi nilipotoka mpaka nilipo kwa sasa katika  tasnia ya utangazaji,  na changamoto nilizopitia. Kujua zaidi kuhusu mahojiano hayo, usikose kuungana na GPL kupitia Global TV Online.

(PICHA NA JONATHAN KITUNDU / GLOBAL TV ONLINE)

Leave a comment